-
Yeremia 16:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Na hakuna mtu atakayewapa chakula wale wanaoomboleza,
Ili kuwafariji baada ya kufiwa;
Wala hakuna yeyote atakayewapa kikombe cha faraja
Ili wanywe kwa sababu ya kumpoteza baba yao au mama yao.
-