-
Yeremia 16:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 ‘Tazama, ninawaita wavuvi wengi,’ asema Yehova,
‘Nao watawavua.
Na baada ya hapo nitawaita wawindaji wengi,
Nao watawawinda kwenye kila mlima na kila kilima
Na kutoka kwenye mipasuko ya majabali.
-