- 
	                        
            
            Yeremia 17:1Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
 - 
                            
- 
                                        
17 “Dhambi ya Yuda imeandikwa kwa kalamu ya chuma.
Imechongwa kwa ncha ya almasi juu ya bamba la moyo wao
Na juu ya pembe za madhabahu zao,
 
 -