-
Yeremia 17:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Atakuwa kama mti ulio peke yake jangwani.
Hataona mema yatakapokuja,
Lakini atakaa mahali pakavu nyikani,
Katika nchi yenye chumvi ambayo hakuna mtu anayeweza kuishi ndani yake.
-