-
Yeremia 20:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
“Mshutumuni; na tumshtumu!”
Kila mtu aliyenitakia amani alisubiri nianguke:+
“Labda atafanya kosa la kipumbavu,
Nasi tutamshinda na kujilipizia kisasi dhidi yake.”
-