-
Yeremia 25:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Nitatimiza maneno yangu yote niliyosema dhidi ya nchi hiyo, yote yaliyoandikwa katika kitabu hiki ambayo Yeremia ametabiri dhidi ya mataifa yote.
-