-
Yeremia 25:30Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
30 “Nawe unapaswa kuwatabiria maneno haya yote, uwaambie,
‘Yehova atanguruma kutoka juu,
Kutoka katika makao yake matakatifu atafanya sauti yake isikike.
Atanguruma kwa sauti kubwa dhidi ya makao yake yanayodumu.
Atapaza sauti kama watu wanaokanyaga shinikizo la divai,
Ataimba kwa ushindi dhidi ya wakaaji wote wa dunia.’
-