Yeremia 26:12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 Ndipo Yeremia akawaambia wakuu wote na watu wote: “Yehova ndiye aliyenituma kutabiri dhidi ya nyumba hii na dhidi ya jiji hili maneno yote ambayo mmeyasikia.+
12 Ndipo Yeremia akawaambia wakuu wote na watu wote: “Yehova ndiye aliyenituma kutabiri dhidi ya nyumba hii na dhidi ya jiji hili maneno yote ambayo mmeyasikia.+