Yeremia 27:17 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 17 Msiwasikilize. Mtumikieni mfalme wa Babiloni nanyi mtaendelea kuishi.+ Kwa nini jiji hili liwe magofu?
17 Msiwasikilize. Mtumikieni mfalme wa Babiloni nanyi mtaendelea kuishi.+ Kwa nini jiji hili liwe magofu?