-
Yeremia 28:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Zamani za kale manabii walionitangulia mimi na waliokutangulia wewe walikuwa wakitabiri kuhusu nchi nyingi na falme kubwa, kuhusu vita, misiba, na magonjwa hatari.
-