-
Yeremia 29:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Oeni wake mzae wana na mabinti; wachukulieni wana wenu wake na kuwaoza mabinti wenu, ili wao pia wazae wana na mabinti. Muwe wengi huko, msipungue.
-