-
Yeremia 31:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Utaendelea kuyumbayumba mpaka lini, ewe binti usiye mwaminifu?
Kwa maana Yehova ameumba jambo jipya duniani:
Mwanamke atamtafuta mwanamume kwa bidii.”
-