-
Yeremia 31:30Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
30 Lakini wakati huo kila mtu atakufa kwa sababu ya kosa lake mwenyewe. Mtu yeyote atakayekula zabibu chachu, atatiwa ukakasi kwenye meno yake mwenyewe.”
-