-
Yeremia 33:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 na kuhusu wale wanaokuja kupigana na Wakaldayo, na kujaza maeneo haya mizoga ya wale niliowaua katika hasira yangu na katika ghadhabu yangu, wale ambao uovu wao umenifanya niufiche uso wangu kutoka kwenye jiji hili:
-