-
Yeremia 33:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 “Je, hujasikia yale ambayo watu hawa wanasema, ‘Yehova atazikataa familia mbili alizozichagua’? Nao wanawavunjia heshima watu wangu, na hawawatambui tena kuwa taifa.
-