-
Yeremia 35:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 kwenye nyumba ya Yehova. Niliwapeleka katika chumba cha kulia chakula cha wana wa Hanani mwana wa Igdalia, mtu wa Mungu wa kweli, kilichokuwa kando ya chumba cha kulia chakula cha wakuu ambacho kilikuwa juu ya chumba cha kulia chakula cha Maaseya mwana wa Shalumu mlinzi wa mlango.
-