-
Yeremia 36:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Kisha wakaingia kwa mfalme, kwenye ua, na kukiweka kitabu hicho cha kukunjwa kwenye chumba cha mwandishi Elishama, nao wakamwambia mfalme kila kitu walichosikia.
-