Yeremia 38:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 “Ee bwana wangu mfalme, watu hawa wamemtendea Yeremia uovu! Wamemtupa ndani ya tangi, naye atafia humo kwa sababu ya njaa kali, kwa maana hakuna mkate uliobaki jijini.”+
9 “Ee bwana wangu mfalme, watu hawa wamemtendea Yeremia uovu! Wamemtupa ndani ya tangi, naye atafia humo kwa sababu ya njaa kali, kwa maana hakuna mkate uliobaki jijini.”+