-
Yeremia 38:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Mfalme Sedekia akaagiza Yeremia aletwe kwake kwenye mlango wa tatu, ulio katika nyumba ya Yehova, naye mfalme akamwambia Yeremia: “Ningependa kukuuliza jambo fulani. Usinifiche jambo lolote.”
-