-
Yeremia 38:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Kisha Mfalme Sedekia akamwambia Yeremia: “Ninawaogopa Wayahudi ambao wamekimbia kwenda kwa Wakaldayo, kwa maana nikitiwa mikononi mwao watanitendea ukatili.”
-