-
Yeremia 40:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Baadaye wakuu wote wa majeshi waliokuwa uwanjani pamoja na watu wao wakasikia kwamba mfalme wa Babiloni amemweka Gedalia mwana wa Ahikamu awe msimamizi wa nchi na kwamba alikuwa amemweka awe msimamizi wa wanaume, wanawake, na watoto, watu maskini nchini ambao hawakuwa wamepelekwa uhamishoni Babiloni.+
-