10 Lakini mimi, nitakaa Mispa, ili niwawakilishe kwa Wakaldayo watakaokuja kwetu. Lakini ninyi mnapaswa kukusanya divai, matunda ya wakati wa kiangazi, na mafuta na kuviweka vitu hivyo katika vyombo vyenu vya kuhifadhia na mkae katika majiji mliyoyachukua.”+