-
Yeremia 41:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Basi Ishmaeli mwana wa Nethania akatoka Mispa ili kuwapokea, naye alikuwa akitembea huku akilia. Alipokutana nao, akawaambia: “Njooni kwa Gedalia mwana wa Ahikamu.”
-