Yeremia 42:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Basi akamwita Yohanani mwana wa Karea na wakuu wote wa jeshi waliokuwa pamoja naye na watu wote, kuanzia mdogo zaidi mpaka mkubwa zaidi.+
8 Basi akamwita Yohanani mwana wa Karea na wakuu wote wa jeshi waliokuwa pamoja naye na watu wote, kuanzia mdogo zaidi mpaka mkubwa zaidi.+