-
Yeremia 43:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 “Beba mkononi mwako mawe makubwa, nawe uyafiche katika saruji kwenye ngazi ya matofali iliyo kwenye mlango wa nyumba ya Farao huko Tahpanhesi, huku wanaume Wayahudi wakitazama.
-