Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 44:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Badala yake, hakika tutafanya kila neno ambalo vinywa vyetu vimesema, tutamtolea dhabihu Malkia wa Mbinguni* na kummiminia matoleo ya kinywaji,+ kama vile sisi, mababu zetu, wafalme wetu, na wakuu wetu walivyofanya katika majiji ya Yuda na kwenye barabara za Yerusalemu tulipokuwa tumeshiba mkate na tulipokuwa na hali njema, wakati ambapo hatukuona msiba wowote.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki