-
Yeremia 44:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Yeremia akaendelea kuwaambia hivi watu wote na wanawake wote: “Sikieni neno la Yehova, ninyi nyote watu wa Yuda mlio nchini Misri.
-