-
Yeremia 46:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Wafungeni farasi lijamu na mpande juu yake, enyi wapanda farasi.
Shikeni nafasi zenu na mvae kofia zenu.
Sugueni mikuki na mvae makoti yenu ya vita.
-