-
Yeremia 46:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Wanajikwaa na kuanguka kwa wingi.
Wanaambiana:
“Inukeni! Acheni turudi kwa watu wetu na kwenye nchi yetu
Kwa sababu ya upanga ulio katili.”’
-