-
Yeremia 48:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Wamoabu hawajasumbuliwa tangu ujana wao,
Kama divai iliyotulia kwenye machicha.
Hawajamiminwa kutoka katika chombo kimoja kwenda kingine,
Nao hawajawahi kamwe kupelekwa uhamishoni.
Ndiyo sababu ladha yao imebaki vilevile,
Na harufu yao haijabadilika.
-