-
Yeremia 48:38Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
38 “‘Juu ya paa zote za Moabu
Na katika viwanja vyake vyote vya jiji,
Hakuna kitu kingine ila maombolezo.
Kwa maana nimemvunja Moabu
Kama chombo kilichotupwa,’ asema Yehova.
-