-
Yeremia 48:41Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
41 Miji itatekwa,
Na ngome zake zitachukuliwa.
Siku hiyo moyo wa mashujaa wa Moabu
Utakuwa kama moyo wa mwanamke anayezaa.’”
-