-
Yeremia 49:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Mtetemeko uliosababisha umekudanganya,
Kimbelembele cha moyo wako,
Ewe unayekaa katika mapango ya jabali,
Unayekaa kwenye kilima kirefu zaidi.
Ingawa unajenga kiota chako juu kama tai,
Nitakushusha chini kutoka huko,” asema Yehova.
-