-
Yeremia 49:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Damasko amekufa moyo.
Amegeuka ili kukimbia, lakini ameshikwa na hofu.
Amepatwa na taabu na uchungu,
Kama mwanamke anayezaa.
-