-
Yeremia 49:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Kwa maana vijana wake wataanguka katika viwanja vyake vya jiji,
Na wanajeshi wote wataangamia siku hiyo,” asema Yehova wa majeshi.
-