-
Yeremia 49:29Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
29 Mahema yao na mifugo yao itachukuliwa,
Vitambaa vyao vya mahema na mali zao zote.
Ngamia wao watachukuliwa,
Nao watawalilia, ‘Kuna hofu kila mahali!’”
-