-
Yeremia 49:36Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
36 Nitaleta juu ya Elamu zile pepo nne kutoka kwenye miisho minne ya mbingu, nami nitawatawanya kwenye pepo hizi zote. Hakuna taifa ambako watu wa Elamu waliotawanywa hawataenda.’”
-