Yeremia 51:3 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 3 Anayepiga mishale asiupinde* upinde wake. Na yeyote asisimame akiwa amevaa koti lake la vita. Msiwahurumie vijana wake.+ Angamizeni jeshi lake lote.
3 Anayepiga mishale asiupinde* upinde wake. Na yeyote asisimame akiwa amevaa koti lake la vita. Msiwahurumie vijana wake.+ Angamizeni jeshi lake lote.