-
Yeremia 51:46Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
46 Msife moyo wala msiogope kwa sababu ya habari itakayosikiwa nchini.
Katika mwaka mmoja habari itakuja,
Na mwaka unaofuata habari nyingine,
Kuhusu ukatili nchini na kuhusu mtawala akimshambulia mtawala mwingine.
-