Maombolezo 1:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 Fahari yote ya binti ya Sayuni imetoweka.+ Wakuu wake ni kama paa dume waliokosa malisho,Nao wanatembea kwa uchovu mbele ya yule anayewafuatia.
6 Fahari yote ya binti ya Sayuni imetoweka.+ Wakuu wake ni kama paa dume waliokosa malisho,Nao wanatembea kwa uchovu mbele ya yule anayewafuatia.