-
Maombolezo 2:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
Ameimeza minara yake yote;
Ameziharibu ngome zake zote.
Na katika binti ya Yuda anafanya maombolezo na kilio kiwe kingi.
-