Maombolezo 2:12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 Wanaendelea kuwauliza mama zao, “Iko wapi nafaka na divai?”+ Wanapozimia kama mtu aliyejeruhiwa katika viwanja vya mji,Huku uhai wao ukitoka polepole wakiwa mikononi mwa mama zao.
12 Wanaendelea kuwauliza mama zao, “Iko wapi nafaka na divai?”+ Wanapozimia kama mtu aliyejeruhiwa katika viwanja vya mji,Huku uhai wao ukitoka polepole wakiwa mikononi mwa mama zao.