27 Nami nikaona kitu kinachong’aa kama mchanganyiko wa dhahabu na fedha,+ kilichokuwa kama moto unaong’aa kutoka kwenye kile kilichoonekana kuwa kiuno chake kwenda juu; na kutoka kwenye kiuno chake kwenda chini, nikaona kitu kilichofanana na moto.+ Kulikuwa na mwangaza mkali kumzunguka pande zote