-
Ezekieli 3:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Kwa maana hutumwi kwenda kwa watu wanaozungumza lugha isiyoeleweka au lugha isiyojulikana, bali kwa watu wa nyumba ya Israeli.
-