-
Ezekieli 3:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Nayo roho ikanibeba na kunichukua, nami nikaenda kwa uchungu na kwa ghadhabu ya roho yangu, na mkono wa Yehova ukatulia juu yangu kwa nguvu.
-