-
Ezekieli 3:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Nami nitaufanya ulimi wako ushikamane na kaakaa la kinywa chako, nawe utakuwa bubu, usiweze kuwakaripia, kwa sababu wao ni nyumba ya uasi.
-