-
Ezekieli 6:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Nawe utasema, ‘enyi milima ya Israeli, sikieni neno la Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova: Hivi ndivyo Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova anavyoiambia milima, vilima, vijito na mabonde: “Tazameni! Ninaleta upanga dhidi yenu, nami nitaharibu mahali penu pa juu.
-