-
Ezekieli 6:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Nami nitaunyoosha mkono wangu dhidi yao na kuifanya nchi iwe ukiwa, na makao yao yote yatakuwa ukiwa kuliko nyika iliyo karibu na Dibla. Nao watalazimika kujua kwamba mimi ni Yehova.’”
-