-
Ezekieli 7:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 “Nawe Mwana wa binadamu, hivi ndivyo Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova anavyoiambia nchi ya Israeli: ‘Mwisho! Mwisho umezifikia pembe nne za nchi.
-