Ezekieli 7:3 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 3 Sasa mwisho umekufikia, nami nitakumwagia hasira yangu, nami nitakuhukumu kulingana na njia zako na kukuadhibu* kwa sababu ya matendo yako yote yanayochukiza. Ezekieli Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 7:3 Ibada Safi, kur. 68, 70
3 Sasa mwisho umekufikia, nami nitakumwagia hasira yangu, nami nitakuhukumu kulingana na njia zako na kukuadhibu* kwa sababu ya matendo yako yote yanayochukiza.